Msaada jinsi ya kupata mdhamini katika ujenzi wa kiwanda

Msaada jinsi ya kupata mdhamini katika ujenzi wa kiwanda

Mtu ni watu

Member
Joined
Mar 27, 2018
Posts
42
Reaction score
38
Habarini za wakati huu wana JF
Kama kichwa kinavojieleza nimekuwa na wazo la kuanzisha kiwanda cha aina fulani ya chakula ambayo bado haipo sokoni kwa hapa tanzania na katika uchunguzi mdogo niliofanya najua kitapokelewa vizuri sana maana pia ni tiba kwa magonjwa mbalimbali kutokana na kutokuwa na uelewa zaidi wapi nitapata msaada wa kifedha nimeamua kuleta kwenye hili jukwaa nipate mawazo yenu je wapi nianzie ili kufanikisha kuanzisha hili wazo au naweza kupata kampuni gani inayoweza kununua hili wazo.
NB: Lipo kwenye maandishi tayari
Asanteni
 
Back
Top Bottom