Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 192
jamani ndugu zangu naomba msaada namna ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba ambayo haina hati yaani skwata
nina akaunti nmbWewe una account bank gani
nina akaunti nmb
nimejiajiri mwenyewe mkuuUmeajiriwa ama umejiajiri?
nimejiajiri mwenyewe mkuu
Kaka nenda ofisi ya serikali za mitaa waulize kama eneo unaloishi liko kwenye mradi wa leseni za makazi kama ndio wambie wakupe fomu ya maombi pia watakuelekeza na taratibu zingine. Ukishapata leseni ya makazi nenda azania bank watakupa mkopo, la kama eneo unaloishi halimo kwenye mradi wa leseni za makazi basi hapo itabidi upime na upate hati nenda halmashauri ya manispaa husika idara ya mipango miji kwa msaada...ukifanikiwa kukopa helajamani ndugu zangu naomba msaada namna ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba ambayo haina hati yaani skwata
NPM na yako fasta nikupe pesa mkuu.jamani ndugu zangu naomba msaada namna ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba ambayo haina hati yaani skwata
Kuna aina nyingi za mikopo ungeelezea vitu vifuatavyo ili niweze kukupa njia rahisi ya kuweza kupatajamani ndugu zangu naomba msaada namna ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba ambayo haina hati yaani skwata
Mkopo ni majanga
0769600067 nipigiejamani ndugu zangu naomba msaada namna ya kupata mkopo kwa dhamana ya nyumba ambayo haina hati yaani skwata
...usipende vya burebure.,jitume utapata!0769600067 nipigie
Mkopo ni majanga
mkuu, ni text 0787 408180NPM na yako fasta nikupe pesa mkuu.