Msaada jinsi ya kupata Mustachi..

Msaada jinsi ya kupata Mustachi..

Almachus

Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
56
Reaction score
12
Nawasalimu kwa mara nyingine tena wana JamiiForums,

Mimi ni kijana wa miaka 20 lakini mpaka sasa nimepata ndevu za kawaida (kidevuni) lakini mimi napenda sana Mustachi (za mashavuni) maarufu kama TIMBA...

Naombeni msaada nifanyeje ili nizipate??
 
Aise,watu wanataka pesa wewe unataka ndevu?hii balaa sasa,anyway,usiwe na haraka,umri bado mdogo huo vumilia tu.
 
Hamishia jukwaa la madaktari walau huko waweza pata wataalam
 
upload_2017-12-17_20-40-54.jpeg
images
jaribu ku-PM huyu jamaa huenda akakusaidia kuzipata
 
Jikwangue na viwembe hata kama ndevu hakuna ndio utakua unaziita
 
Kijana Tafuta hela kwanza maana ni gharama kuzihudumia zaidi ni uchafu tuu
 
Subiri ufike hata 30yrs basi km bado hazijaota ndiyo utafute ushauri
 
Back
Top Bottom