Msaada jinsi ya kupata sponsership ya serikali pale D.I.T

Msaada jinsi ya kupata sponsership ya serikali pale D.I.T

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Heshima mbele,
jamani nataka kusoma diploma in IT pale DIT lkn mzazi wangu hana pesa za ada za kulipa hapo chuon so ningeomba kujulshwa jinsi gani naweza pata udhamin kutoka serikalin ili niweze kusoma hapo
asanten.
 
Now the sponsorship have limited to only form four selected directly from school. There is no way that you can get sponsorship
 
kuna sponsor za wakina dada. kama wew ni mwanamke kuna kozi utaenda pale utasoma kwa wiki kumi. ukiwa umefaulu unaweza ukapata
 
Mh!!
Kwa kweli elimu yetu hii
me nina wasi wasi na maisha yetu ya kuunga unga unga hyo karo ya D.I.T
na nyingi mno kwa sisi walala hoi
kama kuna USHAURI wowote wa kunisaidia maana nataka kuendelea kusoma,
nifanyeje ili niweze kusoma!
 
Mh!!
Kwa kweli elimu yetu hii
me nina wasi wasi na maisha yetu ya kuunga unga unga hyo karo ya D.I.T
na nyingi mno kwa sisi walala hoi
kama kuna USHAURI wowote wa kunisaidia maana nataka kuendelea kusoma,
nifanyeje ili niweze kusoma!

Lipa hyo 780,000 ukae home ucjtafutie majanga ya kukaa hostel
 
mimi nakaa mwanza so kusoma natokea HOME itakua ni mjanga
 
Labda rudia form three shule ya kata halafu ukifika form four utaichagua dit kwenye sel forms,
halafu ukichaguliwa utapata sponsor
 
*sponsorship ... learn how to spell
 
Back
Top Bottom