Msaada Jinsi ya kupata token za kuwa wakala wa kusajili laini ya Voda, Airtel, Halotel, Tigo

sijeka

Member
Joined
Dec 20, 2017
Posts
10
Reaction score
0
Jinsi ya kupata token za kuwa wakala wa kusajili laini ya voda airtel holotel tigo
 
Nenda ofisi zao ambazo zipo kila wilaya utampata mtu anayeitwa TM (Team leader) huyu atakuunganisha tu kaka wala usiogope na ndani ya wilaya wanaweza kuwa hata wanne au watano, kazi ya hawa ni kuhakikisha mitandao inatanua huduma zao hivyo naomba pia uwe na umakini ili ufaidike pia maana ukizubaa wanakulalia.

Wana tabia, anachukua laini anakupatia hata bure ukasajili wewe unadhani amekusaidia kumbe wewe ndiyo unaliwa cos wao laini wanapewa bure wawagawie watu wa kusajili sasa wanaunganisha laini hizo ukisajili laini kuanzia 60 jamaa anakunja mfukoni karibu sh laki 2 yaani kazi unafanya wewe hela analipwa mwingine.

Lakini pia hakikisha unakuwa na simu ya smartphone yenye ukubwa wa kamera (8mp kwenda juu,) na iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri maana blah blah hawataki.

Kwa hiyo kuhusu laini ukishaunganishwa wewe jitahidi kumwambia akuunganishie uwe unalipwa kwa usajili wako hapo ndipo utaifaidi biadlshara hiyo. Usione vijana wanatembea kwa mguu kusajili wale wanamzidi hata mfanyakazi wa serikali wa idara za chini mshahara maana kuna wengine wanalipwa hadi milion moja hadi 3 kwa kusajili tu
 
Asante kwa ushaur huo mkuu
 
Je simu yà Samsung galaxy pocket neo inauwezo wa kujili laini
 
Samsung galaxy pocket neo GT-S531inauwezo wa kusajili
 
sasa wewe ukisema ukisajili laini kama 60...TM leader mkwanja anauweka mfukoni....hapo sijakuelewa...maana mamba inayoounganishwa kwa token inakuwa ya mtu anayesajili...sasa huyo TM atakulaje pesa yako wakati namba inayotimika kusajili sio ya kwake?
 
Siku hizi unaweza kuunganishwa usajili wa simu ila kuna kitu kinaitwa connection yaani laini ambazo faida yake hulipwa moja kwa moja katika laini iliyounganishwa nazo kwa hivyo unaweza kuwa wakala wa usajili ila hulipwi fedha ya matumizi ya mteja ya laini wewe utalipwa na kampuni ya usajili uliyodownload App yake.

Nadhani umenielewa japo kiasi
 
Nenda ofisi zao ambazo zipo kila wilaya utampata mtu anayeitwa TM (Team leader) huyu atakuunganisha tu kaka wala usiogope na ndani ya wilaya wanaweza kuwa hata wanne au watano, kazi ya hawa ni kuhakikisha mitandao inatanua huduma zao hivyo naomba pia uwe na umakini ili ufaidike pia maana ukizubaa wanakulalia.

Wana tabia, anachukua laini anakupatia hata bure ukasajili wewe unadhani amekusaidia kumbe wewe ndiyo unaliwa cos wao laini wanapewa bure wawagawie watu wa kusajili sasa wanaunganisha laini hizo ukisajili laini kuanzia 60 jamaa anakunja mfukoni karibu sh laki 2 yaani kazi unafanya wewe hela analipwa mwingine.

Lakini pia hakikisha unakuwa na simu ya smartphone yenye ukubwa wa kamera (8mp kwenda juu,) na iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri maana blah blah hawataki.

Kwa hiyo kuhusu laini ukishaunganishwa wewe jitahidi kumwambia akuunganishie uwe unalipwa kwa usajili wako hapo ndipo utaifaidi biadlshara hiyo. Usione vijana wanatembea kwa mguu kusajili wale wanamzidi hata mfanyakazi wa serikali wa idara za chini mshahara maana kuna wengine wanalipwa hadi milion moja hadi 3 kwa kusajili tu
Milioni!!! Kuwa mkweli asee usimtamanishe kupitiliza kuliko uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*TANGAZO KWA HISANI YA HALOTEL*

*KWA WALE WANAOHITAJI KUWA MAWAKALA WA HALOTEL YAANI KUTENGENEZEWA CODE YA USAJILI NA KUWA WAKALA WA KUSAJILI LAINI ZOTE HALOTEL *(za kawaida, za chuo na za Royal )NA KUJIINGIZIA KIPATO MNAKARIBISHWA*

*Huduma hii ni kwa watu waliopo Moshi ila kama upo mbali na upo tayari utasaidiwa*

*NB*: *HUDUMA HII INATOLEWA BUREEEEEE KABISA*

KWA MAELEZO ZAIDI ILI KUPATA HUDUMA WASILIANA(Masaaa 24)

*Mtokoma* Halotel Team Leader-Moshi
Sms/call. 0620733286
Whatsap/call/sms 0621895895

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom