Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushaur huo mkuuNenda ofisi zao ambazo zipo kila wilaya utampata mtu anayeitwa TM (Team leader) huyu atakuunganisha tu kaka wala usiogope na ndani ya wilaya wanaweza kuwa hata wanne au watano, kazi ya hawa ni kuhakikisha mitandao inatanua huduma zao hivyo naomba pia uwe na umakini ili ufaidike pia maana ukizubaa wanakulalia.
Wana tabia, anachukua laini anakupatia hata bure ukasajili wewe unadhani amekusaidia kumbe wewe ndiyo unaliwa cos wao laini wanapewa bure wawagawie watu wa kusajili sasa wanaunganisha laini hizo ukisajili laini kuanzia 60 jamaa anakunja mfukoni karibu sh laki 2 yaani kazi unafanya wewe hela analipwa mwingine.
Lakini pia hakikisha unakuwa na simu ya smartphone yenye ukubwa wa kamera (8mp kwenda juu,) na iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri maana blah blah hawataki.
Kwa hiyo kuhusu laini ukishaunganishwa wewe jitahidi kumwambia akuunganishie uwe unalipwa kwa usajili wako hapo ndipo utaifaidi biadlshara hiyo. Usione vijana wanatembea kwa mguu kusajili wale wanamzidi hata mfanyakazi wa serikali wa idara za chini mshahara maana kuna wengine wanalipwa hadi milion moja hadi 3 kwa kusajili tu
Samsung galaxy pocket neo GT-S531inauwezo wa kusajiliNenda ofisi zao ambazo zipo kila wilaya utampata mtu anayeitwa TM (Team leader) huyu atakuunganisha tu kaka wala usiogope na ndani ya wilaya wanaweza kuwa hata wanne au watano, kazi ya hawa ni kuhakikisha mitandao inatanua huduma zao hivyo naomba pia uwe na umakini ili ufaidike pia maana ukizubaa wanakulalia.
Wana tabia, anachukua laini anakupatia hata bure ukasajili wewe unadhani amekusaidia kumbe wewe ndiyo unaliwa cos wao laini wanapewa bure wawagawie watu wa kusajili sasa wanaunganisha laini hizo ukisajili laini kuanzia 60 jamaa anakunja mfukoni karibu sh laki 2 yaani kazi unafanya wewe hela analipwa mwingine.
Lakini pia hakikisha unakuwa na simu ya smartphone yenye ukubwa wa kamera (8mp kwenda juu,) na iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri maana blah blah hawataki.
Kwa hiyo kuhusu laini ukishaunganishwa wewe jitahidi kumwambia akuunganishie uwe unalipwa kwa usajili wako hapo ndipo utaifaidi biadlshara hiyo. Usione vijana wanatembea kwa mguu kusajili wale wanamzidi hata mfanyakazi wa serikali wa idara za chini mshahara maana kuna wengine wanalipwa hadi milion moja hadi 3 kwa kusajili tu
sasa wewe ukisema ukisajili laini kama 60...TM leader mkwanja anauweka mfukoni....hapo sijakuelewa...maana mamba inayoounganishwa kwa token inakuwa ya mtu anayesajili...sasa huyo TM atakulaje pesa yako wakati namba inayotimika kusajili sio ya kwake?Nenda ofisi zao ambazo zipo kila wilaya utampata mtu anayeitwa TM (Team leader) huyu atakuunganisha tu kaka wala usiogope na ndani ya wilaya wanaweza kuwa hata wanne au watano, kazi ya hawa ni kuhakikisha mitandao inatanua huduma zao hivyo naomba pia uwe na umakini ili ufaidike pia maana ukizubaa wanakulalia.
Wana tabia, anachukua laini anakupatia hata bure ukasajili wewe unadhani amekusaidia kumbe wewe ndiyo unaliwa cos wao laini wanapewa bure wawagawie watu wa kusajili sasa wanaunganisha laini hizo ukisajili laini kuanzia 60 jamaa anakunja mfukoni karibu sh laki 2 yaani kazi unafanya wewe hela analipwa mwingine.
Lakini pia hakikisha unakuwa na simu ya smartphone yenye ukubwa wa kamera (8mp kwenda juu,) na iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri maana blah blah hawataki.
Kwa hiyo kuhusu laini ukishaunganishwa wewe jitahidi kumwambia akuunganishie uwe unalipwa kwa usajili wako hapo ndipo utaifaidi biadlshara hiyo. Usione vijana wanatembea kwa mguu kusajili wale wanamzidi hata mfanyakazi wa serikali wa idara za chini mshahara maana kuna wengine wanalipwa hadi milion moja hadi 3 kwa kusajili tu
Siku hizi unaweza kuunganishwa usajili wa simu ila kuna kitu kinaitwa connection yaani laini ambazo faida yake hulipwa moja kwa moja katika laini iliyounganishwa nazo kwa hivyo unaweza kuwa wakala wa usajili ila hulipwi fedha ya matumizi ya mteja ya laini wewe utalipwa na kampuni ya usajili uliyodownload App yake.sasa wewe ukisema ukisajili laini kama 60...TM leader mkwanja anauweka mfukoni....hapo sijakuelewa...maana mamba inayoounganishwa kwa token inakuwa ya mtu anayesajili...sasa huyo TM atakulaje pesa yako wakati namba inayotimika kusajili sio ya kwake?
Milioni!!! Kuwa mkweli asee usimtamanishe kupitiliza kuliko uhalisiaNenda ofisi zao ambazo zipo kila wilaya utampata mtu anayeitwa TM (Team leader) huyu atakuunganisha tu kaka wala usiogope na ndani ya wilaya wanaweza kuwa hata wanne au watano, kazi ya hawa ni kuhakikisha mitandao inatanua huduma zao hivyo naomba pia uwe na umakini ili ufaidike pia maana ukizubaa wanakulalia.
Wana tabia, anachukua laini anakupatia hata bure ukasajili wewe unadhani amekusaidia kumbe wewe ndiyo unaliwa cos wao laini wanapewa bure wawagawie watu wa kusajili sasa wanaunganisha laini hizo ukisajili laini kuanzia 60 jamaa anakunja mfukoni karibu sh laki 2 yaani kazi unafanya wewe hela analipwa mwingine.
Lakini pia hakikisha unakuwa na simu ya smartphone yenye ukubwa wa kamera (8mp kwenda juu,) na iwe na uwezo wa kutoa picha nzuri maana blah blah hawataki.
Kwa hiyo kuhusu laini ukishaunganishwa wewe jitahidi kumwambia akuunganishie uwe unalipwa kwa usajili wako hapo ndipo utaifaidi biadlshara hiyo. Usione vijana wanatembea kwa mguu kusajili wale wanamzidi hata mfanyakazi wa serikali wa idara za chini mshahara maana kuna wengine wanalipwa hadi milion moja hadi 3 kwa kusajili tu
Milioni!!! Kuwa mkweli asee usimtamanishe kupitiliza kuliko uhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app