Kwa marekani ni rahis unaweza tafuta mwekezaji nje ata ukiwa Tanzania .Cha muhimu andaa business plan nzuri kuna watu uku wana pesa sana na wanapenda uwekezaji nje maana uku kumejaa .
Pia kwa pesa ya nje ukiwekeza uku Afrika unatajirika sana sababu kuna fursa na watu wengi hawana mitaji.
Fursa ambazo zinaweza kukufanya ukawa tajiri mkubwa zinahitaji mtaji.
Tafuta mwekezaji wa nje wa hapa wana watakusumbua