Ndugu zangu wana Jf Poleni na majukumu.
Naomba kujuzwa, jinsi au taratibu za kupata wawekezaji, hususani kwa watu wenye, mashamba makubwa, vitaru vilivyopimwa kwaajili ya madini, na miradi mbalimbali. Naamini kuwa majibu yatakayo tolewa hapa, ni faida pia kwa wenzangu namie, wasiojua tarabu za kupata wawekezaji hapa Tanzania.