Hana tofaut na anavyopikwa kuku ila tu kumnyonyoa ndio kaz weka maji ya moto mtie humo kwa mda wa dak 5 hiv mpaka 10 toa manyoya yote vitabak vimanyoya vidogodogo tumia unga kusafisha akiwa mkavu unga wa sembe,,then kwny mapishi ni uwanja wako tu sasa mchemshe kisawasawa maana anaugum flan hiv.... ukishindwa nikaribishe nije nikusaidie kumpika km Shem hayupo lkn itakuwa vyema
Asante sanaa kumbe kama kuku tu[emoji16]Hana tofaut na anavyopikwa kuku ila tu kumnyonyoa ndio kaz weka maji ya moto mtie humo kwa mda wa dak 5 hiv mpaka 10 toa manyoya yote vitabak vimanyoya vidogodogo tumia unga kusafisha akiwa mkavu unga wa sembe,,then kwny mapishi ni uwanja wako tu sasa mchemshe kisawasawa maana anaugum flan hiv.... ukishindwa nikaribishe nije nikusaidie kumpika km Shem hayupo lkn itakuwa vyema
Kiukweli bata sijawahi kumla,Ila ulivyomuulizia jinsi ya kumpika naomba siku utakayompika unikaribisheHabari zenu machef wa jf naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu.Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa.Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya bata sasa sijui pa kuanzia maana nasikia hapikwi kama kuku.
Naombeni msaada kuanza kumnyonyoa vipi aishe manyoya maana ana vimalaika sana.
Mtie viungo, kwanza, muweke kwenye sufuria, kisha funika na sufuria, palia kama WALI moto usiwe mkubwa na kwa muda mferu kidogo anachuruzika mafuta anajikaanga mwenyewe. akiiva na kuanza rangi ya brown unaendelea na process zako za namna unavyotaka aweAsante mkuu namuoka kwenye mkaa?bila kuweka kiungo chochote?
mtamu sana ukimjulia, kama kitimoto tuKiukweli bata sijawahi kumla,Ila ulivyomuulizia jinsi ya kumpika naomba siku utakayompika unikaribishe
Habari zenu machef wa jf naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu.Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa.Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya bata sasa sijui pa kuanzia maana nasikia hapikwi kama kuku.
Naombeni msaada kuanza kumnyonyoa vipi aishe manyoya maana ana vimalaika sana.
Wow nimependa hii [emoji179]mtie viungo, kwanza, muweke kwenye sufuria, kisha funika na sufuria, palia kama WALI moto usiwe mkubwa na kwa muda mferu kidogo anachuruzika mafuta anajikaanga mwenyewe. akiiva na kuanza rangi ya brown unaendelea na process zako za namna unavyotaka awe
[emoji23][emoji23][emoji23]hizi avatar mnazitoleaga wapi aisee.Unazunguzia Bata yupi Kwanza???
Anaanikwa na si kuokwa... Anaanikwa na si kutoa mafuta bali kupunguza maji mwilini mwake....baada ya kumnyonyoa muoke kama mkate hadi mafuta yaishe ukiwa umemuweka viungo vya kumlainisha.
akitoka mafuta yote anakuwa wabrown unampika kama nyama nyingine