Msaada jinsi ya Kupika Mlenda

Msaada jinsi ya Kupika Mlenda

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Leo ningependa kupika mlenda ila tatizo sijui hivyo naomba msaada wenu
Vitu nilivyonavyo ni
1.Kalanga
2.Bamia
3.Majani ya maboga

Je hivyo vyatosha au kuna kingine kinahitajika?????

Nasubili

J'pili njema
 
ningekusaidia ila mie naupenda na naujua kipika mlenda wa unga unga ule wakigogo na wakipare.
Huo mwengine ulinishinda kula naona hauna radha japo kuna siku bibi alinipikia akaweka karanga,nyanya kigogo yaani unauona kabisa kuwa mzuri na mtamu ila nilishindwa kuula.
Cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom