Pepeta- 1 Kg
-
Dengu za vipande za manjano---1/2 Kg
-
Karanga (njugu) zilokiwisha kaangwa -¼ Kg
----------------
Korosho- ¼ Kg
-
Zabibu kavu---1 Kikombe
-
Chips (Crisps plain)---2 Paketi kubwa
-
Bizari ya manjano-1 kijiko cha chai
-
Sukari--¼kikombe
-
Chumvi--Kiasi
-
Ndimu ya unga 2 vijiko vya chai
-
Pilipili ya unga---1 kijiko cha supu
-
Majani ya mchuzi makavu (curry leaves)
-
Mafuta--2 vijiko vya supu
-
Mafuta mengine ya kukaangia dengu---kiasi
na pepeta katika karai -------------------------------- -
-
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
-
-
Roweka dengu tokea usiku.
Siku ya pili weka mafuta kwenye karai na kwa moto wa kiasi kaanga dengu kisha zitoe.
Kisha kaanga pepeta uzitoe, weka pembeni .
Kaanga -zabibu kidogo tu zitoe.
Tia mafuta vijiko 2 vya supu
katika kikaango (frying pan) kaanga majani ya mchuzi pamoja na bizari ya manjano.
-
Tia kwenye bakuli kubwa vitu vyote ulivyokaanga na uchanganye , pamoja na korosho, njugu na chipsi.
Nyunyuzia -sukari, ndimu ya unga, chumvi na pili pili ya unga uchanganye vyote pamoja tayari kuliwa.
-
-
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums