Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninaomba msaada jinsi ya kupika tambi za dengu.tambi zile zinazo pikwa na unga wa dengu.Tambi hizi huwa zinauzwa mtaani we ngine hutia nakaranga.
Zinaitwa chauro
hani hizo hujawahi nipikia
jamani inamaana hakuna anayejua kuzipika?
farkhina wewe umemfahamisha chauro. Yeye anataka chauro zile za dengu. Zinafanywa kwa unga wa dengu, na zinakua nyembamba refu kama tambi. Za dengu tu pekee. Ushazijua?Pepeta- 1 Kg
-
Dengu za vipande za manjano---1/2 Kg
-
Karanga (njugu) zilokiwisha kaangwa -¼ Kg
----------------
Korosho- ¼ Kg
-
Zabibu kavu---1 Kikombe
-
Chips (Crisps plain)---2 Paketi kubwa
-
Bizari ya manjano-1 kijiko cha chai
-
Sukari--¼kikombe
-
Chumvi--Kiasi
-
Ndimu ya unga 2 vijiko vya chai
-
Pilipili ya unga---1 kijiko cha supu
-
Majani ya mchuzi makavu (curry leaves)
-
Mafuta--2 vijiko vya supu
-
Mafuta mengine ya kukaangia dengu---kiasi
na pepeta katika karai -------------------------------- -
-
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
-
-
Roweka dengu tokea usiku.
Siku ya pili weka mafuta kwenye karai na kwa moto wa kiasi kaanga dengu kisha zitoe.
Kisha kaanga pepeta uzitoe, weka pembeni .
Kaanga -zabibu kidogo tu zitoe.
Tia mafuta vijiko 2 vya supu
katika kikaango (frying pan) kaanga majani ya mchuzi pamoja na bizari ya manjano.
-
Tia kwenye bakuli kubwa vitu vyote ulivyokaanga na uchanganye , pamoja na korosho, njugu na chipsi.
Nyunyuzia -sukari, ndimu ya unga, chumvi na pili pili ya unga uchanganye vyote pamoja tayari kuliwa.
-
-
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
farkhina wewe umemfahamisha chauro. Yeye anataka chauro zile za dengu. Zinafanywa kwa unga wa dengu, na zinakua nyembamba refu kama tambi. Za dengu tu pekee. Ushazijua?
Nazijua vizuri tu habibty ntamuekea si zile nyumbani wanauza na chipsi mhogo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Yah, ndo izo
Shosti nakuekea recipe usihofu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nlivoona dengu nlifkiri ni dengu zenyewe kumbe ni unga wa dengu...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mambo sungura1980!
Mambo sungura1980!
Poa,za mapumziko ya Muungano?