Msaada jinsi ya kupika tambi za dengu


Wengine hutumia chujio za bati!..hatuna makuu lol
 

naomba nikuelezee kidogo, dukan kuna mashine ya kuekea huu unga ili utoke kama nyoka vile. inaitwa mashine ya tambi za dengu.

huwa ni rahisi sana kuzipika manake unakoroga unga wa dengu kwa maji kawaida unatia chumvi na sukar kwa mbali unga uwe mzito kidogo usiwe lain kama wa chapati za kumimina. kisha unaujaza kwenye mashine unaumimina kwenye karai lenye mafuta ya moto huku ukizungusha mkono ili zisigandane. zikionekana kukauka unaipua.
 
au kuna kile kibanio cha kupondea viazi kama ushakijua kina matundutundu…unatia ule mchanganyiko humo na kuminyaaa basi zinatoka tambi!!!

Hata kile pia madhali kina matundu kinaweza toa....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Sure hata kuna aina moja ya ladoo pia unatumia chujio au ile miko ya kutolea andaz...

Ila chauro inacho kidude maalum ntawawekea picha unaweza pata madukani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mashine ya kutengenezea hizo tambi zionekane kama nyoka ni sh ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…