Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Lete mambo basi bi shost.
Mi nahisi unauchanganya na chumvi na pilipili kiasi then unaweka karai ya mafuta ya kukaangia then unatafuta kitu chenye matundu mfano wa mshebeki. ( apa nahisi kuna kitu special cha kupitishia unga wako) basi tena unaweka juu mchanganyiko wako so kwa chini utatoka km tambi, unakaanga kwenye karai.
Hio ni fikira tu, Sina uhakika. Lol
Wengine hutumia chujio za bati!..hatuna makuu lol