Msaada: Jinsi ya kupokea mzigo (Online shopping)

madibadc

Member
Joined
May 1, 2016
Posts
12
Reaction score
1
Napenda kufahamu, kama mzigo umetumwa kupitia ebay on line shipping naupataje na makato yake yako vipi hapa kwetu Tanzania?

Ni mzigo mdogo yaani laptop.
 
Physical or address. Kama Wana tumia DHL au UPS jiandae na hela ya TRA kabisa. Kama Ni posta pia siku hizi kuna watu wa TRA na wata calculate Kodi Ila wako considerate waombe watumie utu
 
Kama wamekutumia tracking number unaweza Ku trace online na kujua mzigo uliko
 
Physical or address. Kama Wana tumia DHL au UPS jiandae na hela ya TRA kabisa. Kama Ni posta pia siku hizi kuna watu wa TRA na wata calculate Kodi Ila wako considerate waombe watumie utu
mara ya mwisho nimeagiza kulikuwa hamna kodi kwenye computer. imeshabadilika tayari
 
Kama unatumia shiping way kwa Posta basi mzigo wako ukifika posta watakujulisha kwa njia ya simu, na utaenda na kitambulisho kuchukua Parcel yako, Kwanini usingetumia hawa ma agents kama FedEx au DHL? Pc ina Gharimu kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…