Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoa..kwahyo unakuja direct kwenye hiyo address nilotoa?
mara ya mwisho nimeagiza kulikuwa hamna kodi kwenye computer. imeshabadilika tayariPhysical or address. Kama Wana tumia DHL au UPS jiandae na hela ya TRA kabisa. Kama Ni posta pia siku hizi kuna watu wa TRA na wata calculate Kodi Ila wako considerate waombe watumie utu