Penda kusoma neno LA Mungu na kuhudhulia katika nyumba za ibada kwa ushauri zaidi usisite kurudi tena.Wapendwa wa jf habarini poleni na majukumu.Kama kichwa cha habari kilivyo naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana,nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazma nikasirike.Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafik wapungue nimeshindwa kujitawala nahtaj ushaur wenu nifanye nn ili nisiwe mtu wa hasira hasira
Hhahahahahahahahahaa wee jamaaHali ya uchumi ikikaa sawa zitapungua tuu mkuu.
Usiache kusoma neno iwe ni utaratibu wako katika maishaNeno la mungu nalisoma sana ila nitakuwa vzur hata wiki baadae yanarud vile vile