Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
Mpumbavu mkubwa weee.Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
~Stop smoking marijuanaWapendwa wa JF haba marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
Wewe na mimi baba yetu mmoja mkuu, mimi ni mpole saana ila sasa mwepesi kukwazika sasa huwa sijali alienikasirisha ni mtu wa aina gani au ntapata madhara gani nikireact. Nilisusia kazi niliyopewa na mwenzangu baada ya kubishana mahali flan kwenye kazi tuliyopewa na mimi nilikua right ila yeye akafanya vile anavyotaka yye mwisho wa siku tukaambiwa tuirudie basi mimi kwa hasira kesho yake sikuenda kazini na kufanya kazi isimame na kuanzia hapo ikawa kazi basi.Mmmh huu ugonjwa tupo wengi sana sometimes sijui upole sana nao unachangia au Ile kupenda kukaa mwenyewe
Yani mimi nikikwazika nachozi tu likinitoka kitakachofuatia hapo Mungu ndio anajua na sikubali nishindwe ila unakuta baada ya mda naanza kujutia kwanini nimefanya hivi hua sipendi sana kujihusisha na jambo naloona litanikwaza ila kuna mda matukio yanakufuata tu
Hii ni kweli kabisa mkuuPale unapopatwa na hasira, wahi chooni jitahidi upate "haja kubwa" hata kwa kujikwamua hasira itaisha!!!!
Uzuri nimeshakujua, nikupongeze kwa kujitambua udhaifu wako kwani hiyo ni hatua kubwa, tatizo lako ni moja tu, na ukifanikiwa hilonadhani utapendwa na hizo hasira hutakuwa Nazo. Tatizo lako ni unapenda sana urafiki wa kusaidiwa, yaani ukimuazima au kumuomba mtu fedha akikwambia hana wewe kwako tayari ni ugomvi na kumchukia na hata kuto msalimia. Brother tambua kila mtu anashida zake, pia punguza kumuona kila MTU na adui yako na mambo yako yanapo fail tambua wewe ndio chanzo. Ahsante nimekwambia ukweli kwasababu pale ofisini kila mtu anakuogopa isipokuwa mmoja tu ndio amekubali kukuvumilia.Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
Aisee nikuite tu twin yani huna tofauti na mimi hata kidogo kile nnachokiona ni sawa then mtu anishauri tofauti hua napata shida kumuelewa ila lazima kile nnachoamini nikifanyie kazi na bahati nzuri mimi ni mpole sana ila sina hata chambe ya uoga jambo watu wanaweza liogopa ila mimi ndio kwanza naliface..... Ila mtu ambae hua anaenielewa ni baba angu tu japokuwa mimi ni mtoto wa kike ila kwenye mambo ya msingi lazima anishirikishe coz ananijua hua siogopiWewe na mimi baba yetu mmoja mkuu, mimi ni mpole saana ila sasa mwepesi kukwazika sasa huwa sijali alienikasirisha ni mtu wa aina gani au ntapata madhara gani nikireact. Nilisusia kazi niliyopewa na mwenzangu baada ya kubishana mahali flan kwenye kazi tuliyopewa na mimi nilikua right ila yeye akafanya vile anavyotaka yye mwisho wa siku tukaambiwa tuirudie basi mimi kwa hasira kesho yake sikuenda kazini na kufanya kazi isimame na kuanzia hapo ikawa kazi basi.
Hata wakati nipo chuo nilitofautiana na uongozi wa chuo na kufanya ninavyotaka mimi bila kufuata maelekezo ya Uongozi yaliyonikuta ni kupoteza mwaka mmoja na kuurudia mwaka unaofuata Temper ni mbaya sana kwa kweli na haina tiba watu tulio umbwa hivi tunatabu sana ila nimechunguza nikagundua Viongozi mashujaa waliopita km Adolf Hitler na yule wa Uchina Mo walikua na tabia hizi
Itakua umefuata tabia za mzee wako ndio maana anaelewa mazaifu yakoAisee nikuite tu twin yani huna tofauti na mimi hata kidogo kile nnachokiona ni sawa then mtu anishauri tofauti hua napata shida kumuelewa ila lazima kile nnachoamini nikifanyie kazi na bahati nzuri mimi ni mpole sana ila sina hata chambe ya uoga jambo watu wanaweza liogopa ila mimi ndio kwanza naliface..... Ila mtu ambae hua anaenielewa ni baba angu tu japokuwa mimi ni mtoto wa kike ila kwenye mambo ya msingi lazima anishirikishe coz ananijua hua siogopi
Exactly na mimi ndio copy yakeItakua umefuata tabia za mzee wako ndio maana anaelewa mazaifu yako
Wapendwa wa JF habarini, poleni na majukumu.
Kama kichwa cha habari kilivyo,
Naomba ushauri ili niweze kupunguza au kuondoa kabisa hasira katika maisha yangu.
Wakuu ninatabia ya kupandwa hasira hata kwa jambo dogo mimi ni mtu wa kukasirika sana, nikitofautiana tu na mtu kwa jambo lolote lazima nikasirike. Hasira hizi zimenifanya baadhi ya ndugu na marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.
Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
[emoji23] [emoji23]Mi mwenyewe hua hivyo hivyo napasua tv,radio,vikombe na ziadi hata papuchi hua naigonga kwa hasira ndio ugangwe huo. Hivyo dawa yake wewe fanya ambayo mm sijayafanya.
K Vant[emoji23] [emoji23]
Viroba bado vinapatikana?
Sifa za kijinga zimekuzid nimemalza kidato cha 6 mwaka huu hiyo kazi nimefanya lini???Uzuri nimeshakujua, nikupongeze chanzo. Ahsante nimekwambia ukweli kwasababu pale ofisini kila mtu anakuogopa isipokuwa mmoja tu ndio amekubali kukuvumilia.