Msaada: Jinsi ya kupunguza au kutokuwa na hasira


1. Hudhuria ibadani kila siku iwe msikitini au kanisani.

2.Jichanganye zungumza na watu pia ufanye mazoezi mfano kukimbia.

3.Tafuta PESA,ukikosa PESA unakasirika bila kupenda.
 
Mpumbavu mkubwa weee.
 
Wapendwa wa JF haba marafiki wapungue nimeshindwa kujitawala.

Nahitaji ushauri wenu nifanye nini ili nisiwe mtu wa hasira hasira.
~Stop smoking marijuana
~Cooperate with your mate
~Don't be idle/alone
~Stop masturbating
Mwisho naomba niujue umri wako
 
Wewe na mimi baba yetu mmoja mkuu, mimi ni mpole saana ila sasa mwepesi kukwazika sasa huwa sijali alienikasirisha ni mtu wa aina gani au ntapata madhara gani nikireact. Nilisusia kazi niliyopewa na mwenzangu baada ya kubishana mahali flan kwenye kazi tuliyopewa na mimi nilikua right ila yeye akafanya vile anavyotaka yye mwisho wa siku tukaambiwa tuirudie basi mimi kwa hasira kesho yake sikuenda kazini na kufanya kazi isimame na kuanzia hapo ikawa kazi basi.
Hata wakati nipo chuo nilitofautiana na uongozi wa chuo na kufanya ninavyotaka mimi bila kufuata maelekezo ya Uongozi yaliyonikuta ni kupoteza mwaka mmoja na kuurudia mwaka unaofuata Temper ni mbaya sana kwa kweli na haina tiba watu tulio umbwa hivi tunatabu sana ila nimechunguza nikagundua Viongozi mashujaa waliopita km Adolf Hitler na yule wa Uchina Mo walikua na tabia hizi
 
Uzuri nimeshakujua, nikupongeze kwa kujitambua udhaifu wako kwani hiyo ni hatua kubwa, tatizo lako ni moja tu, na ukifanikiwa hilonadhani utapendwa na hizo hasira hutakuwa Nazo. Tatizo lako ni unapenda sana urafiki wa kusaidiwa, yaani ukimuazima au kumuomba mtu fedha akikwambia hana wewe kwako tayari ni ugomvi na kumchukia na hata kuto msalimia. Brother tambua kila mtu anashida zake, pia punguza kumuona kila MTU na adui yako na mambo yako yanapo fail tambua wewe ndio chanzo. Ahsante nimekwambia ukweli kwasababu pale ofisini kila mtu anakuogopa isipokuwa mmoja tu ndio amekubali kukuvumilia.
 
Aisee nikuite tu twin yani huna tofauti na mimi hata kidogo kile nnachokiona ni sawa then mtu anishauri tofauti hua napata shida kumuelewa ila lazima kile nnachoamini nikifanyie kazi na bahati nzuri mimi ni mpole sana ila sina hata chambe ya uoga jambo watu wanaweza liogopa ila mimi ndio kwanza naliface..... Ila mtu ambae hua anaenielewa ni baba angu tu japokuwa mimi ni mtoto wa kike ila kwenye mambo ya msingi lazima anishirikishe coz ananijua hua siogopi
 
Itakua umefuata tabia za mzee wako ndio maana anaelewa mazaifu yako
 

Dawa kwanza jitoe ktk kabila yako
 
Mi mwenyewe hua hivyo hivyo napasua tv,radio,vikombe na ziadi hata papuchi hua naigonga kwa hasira ndio ugangwe huo. Hivyo dawa yake wewe fanya ambayo mm sijayafanya.
[emoji23] [emoji23]

Viroba bado vinapatikana?
 
Pole MKUU...Kwa sasa hilo ni tatizo la KITAIFA...

NCHI yenyewe ni KIKWAZO...Mfumo wa CHAMA DOLA umekuwa si chanzo tu cha RAIA kuwa na HASIRA bali pia kuwa na wagonjwa wengi wa MOYO na WALIO KATA TAMAA....

Umemsikia MBUNGE kutoka KIGOMA mheshimiwa ZITTO anasema ANAJUTA KUZALIWA TANZANIA...

Sasa sisi RAIA wa kawaida tutasema nini/vipi..!!?

Nashauri labda jaribu KUBADILI MAZINGIRA..

Ni LIFE STYLE INABOA..
Jenga utamaduni wa kutembelea maeneo ya KALE ama sehemu za FUKWE...
 
1. Hudhuria ibadani kila siku iwe msikitini au kanisani.

2.Jichanganye zungumza na watu pia ufanye mazoezi mfano kukimbia.

3.Tafuta PESA,ukikosa PESA unakasirika bila kupenda.
Pesa sio tatzo sana ila asante kwa ushauri
 
Uzuri nimeshakujua, nikupongeze chanzo. Ahsante nimekwambia ukweli kwasababu pale ofisini kila mtu anakuogopa isipokuwa mmoja tu ndio amekubali kukuvumilia.
Sifa za kijinga zimekuzid nimemalza kidato cha 6 mwaka huu hiyo kazi nimefanya lini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…