Vipo vinaitwa nguluka siku hizi hahahahahahahaha[emoji23] [emoji23]
Viroba bado vinapatikana?
MKUU KUNYWA MAJI GLASS 2 KILA UNAPOHISI HASIRAMimi ni mpole sana ila nina hasira sana
Asante sanaDAWA YAKUPUNGUZA AU KUONDOA HASIRA:
KUNYWA MAJI GLASS 2 KIKA UNAPO HISI KUPATWA NA HASIRA.
HASIRA ITAPUNGUA NA KUISHA KUBISA!
KIMSINGI HASIRA IKIPANDA BUSARA HUSHUKA SASA ILI KUONDOA HASIRA INABIDI UIPANDISHE BUSARA NA BUSARA HUPANDISHWA KWA UNYWAJI WA MAJI PALE UNAPO HISI DALILI ZA KUONDOKEWA NA BUSARA!
Tupo pamoja ndugu.hiyo formular iliniokoa kipindi fulami nilipofikwa na jambo kubwa ambalo ni ngumu kuzizuia hasira!Asante sana mkuu
atakuwa mlevi wa mgegedo halafu hata kufanya maamuzi ya maana atashindwa hadi kwanza agegede, itafikia wakat hata akitaka kula kwanza agegede! ASIFANYE HIVYO!!!!!Swala la kugegedana lipe kipaumbele sana, inaonekana papuch huzitumii ipasavyo