dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?
Uzi tayari