Msaada jinsi ya kupunguza wivu

Msaada jinsi ya kupunguza wivu

Pole sana. Wivu husababishwa na upendo kupita kiasi. Unachotakiwa kufanya jaribu kuweka mipaka katika mawazo na matendo Yako. Kwa maana wivu mara nyingi huchangia kumpoteza umpendaye au kuleta madhara katika mahusiano Yako.

Na wakati mwingine wivu hutokana na aina ya mazingira mliyokutana mwanzo. Huwa yanachangia kuona Kila kitu kinaweza kutokea kama mlivyokutana.

Na mara nyingi Huwa unasababishwa na kutojiamini. Mfano unaweza ona uliyenaye ni mrembo Kila mtu anamtaka. Au uliyonaye anahela Kila mwanamke atamtaka kwa kipato alicho nacho. Kupenda ni hisia zako mwenyewe. Na wivu ni matatizo ambae dawa yake ni wewe mwenyewe kujitambua.
 
Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?

Uzi tayari
Umri wako tafadhali pia muoe ili moyo utulie
 
Back
Top Bottom