dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Usinicheke mkuu, leo kwangu kesho kwako π€£π€£[emoji1787][emoji1787]
Na hilo ndo jibu.Nilishawahi kuleta uzi wa namna hiyo
Kuna mkaka nilikuwa na mahusiano nae,ana wivu kinyama
Kiufupi hakuna dawa ya wivu,labda moyo wako uache kumpenda
DaaaπNilishawahi kuleta uzi wa namna hiyo
Kuna mkaka nilikuwa na mahusiano nae,ana wivu kinyama
Kiufupi hakuna dawa ya wivu,labda moyo wako uache kumpenda
Wasi wasi ndo akili mkuu, hakika unato-mbewaaAma kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?
Uzi tayari
Me mwenyewe hapa nimekoma.Mpaka muda huu nimeamua kuachana tu na huyu bidada kwani nahisi nitapata ugonjwa wa moyo kwa wivu.Nilishawahi kuleta uzi wa namna hiyo
Kuna mkaka nilikuwa na mahusiano nae,ana wivu kinyama
Kiufupi hakuna dawa ya wivu,labda moyo wako uache kumpenda
KabisaAchana na mapenzi ni ujinga tupu
Kamekupa nini muhenga πππ tuanzie hapa kwanzaAma kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?
Uzi tayari
Acha kumtesa mtoto wa watuDah kuna wakati binadamu tunapitia kitu kimoja bila kujua mimi nina mgogoro mkubwa sana na wife sababu kubwa ni WIVU yani mpaka amekonda saba kwa wivu
Pole sana. Wivu husababishwa na upendo kupita kiasi. Unachotakiwa kufanya jaribu kuweka mipaka katika mawazo na matendo Yako. Kwa maana wivu mara nyingi huchangia kumpoteza umpendaye au kuleta madhara katika mahusiano Yako.Ama kweli malovee hayana mwenyewe. Yaani na uhenga wangu nimekamatika na katoto ka mwaka 2000.
Muda wote tu nakahisi kama kanachepuka. Japo sijakakamata na ishu yoyote ya kutia shaka lakini nashangaa tu moyo unanienda mbio muda wote nkikafikilia.
Wadau ninyi huwa mnafanyaje kupunguza wivu?
Uzi tayari
πKwan ww ndio wa kwanza kuwa naye
Hata kama utakuwa ni wa1 kaa ukijua mtu mzima hachungwi mwili ni wake anampa amtakae