Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau

Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye galazy theme

Natanguliza shukran za dhat
 
Mmh kwa hyo simu mkuu sidhani kma utapata custom ROM ya android 10. Hyo simu ina android Go kwahyo hata Generic System Images (GSIs) zinazingua sana pia utapoteza huo muonekano wa software ya Samsung.

Kumbuka kwamba kuroot simu sio sawa na kupandisha android version. Kupandisha android version ni lazima uflash firmware ya android 10 kwa mfumo wa custom ROM. Hii sasa kuipata ndio shida hasa kwa simu zisizokua popular sana. Kwa kuperuzi fasta fasta hapa sijaona kma kuna custom ROM yoyote inakubali kwenye A2 core.

Nikicheki kwenye magroup yangu ya telegram A2 core users wanasema hawafanikiwa kuboot custom ROM yoyote
Screenshot_20210111-213731.jpg
 
Mkuu vipi kuhusu redmi 9 C?!
Mmh kwa hyo simu mkuu sidhani kma utapata custom ROM ya android 10. Hyo simu ina android Go kwahyo hata Generic System Images (GSIs) zinazingua sana pia utapoteza huo muonekano wa software ya Samsung...
 
Back
Top Bottom