Luge brown
Member
- Aug 6, 2017
- 66
- 142
Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi..
Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani.
Ombi langu ni ushauri je naweza kusafirisha kwa basi??
Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?
Samahan kwa anaejua anisaidie.
Pakiza kwenye fuso.usisahau kadi ya pikipiki.Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?
Samahan kwa anaejua anisaidie.
Kweli we mwanafunzi.
Tena atakuwa mwanafunzi wa chuo kikuu,Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?
Samahan kwa anaejua anisaidie.
Kweli we mwanafunzi.
Wacha wasiwasi.Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi..
Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani.
Ombi langu ni ushauri je naweza kusafirisha kwa basi??
Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?
Samahan kwa anaejua anisaidie.
Asante kwa Ushauri mzuri mkuuWacha wasiwasi.
Safirisha kwa Basi ndani ya Buti ni rahisi. Toa mafuta yote inaingizwa kwa ubavu na kulalia ngao na kusafirishwa Pasi madhara yoyote. Wasiliana na kondakta wa basi kubwa
Najua nachokifanya mkuu sijakurupuka hataSasa elimu inakusaidia nini dogo..huwa hatuwekez kweny vitu vinavyo depreciate.. pikipiki ya kutembelea ww mwanafunz inakisaidia nini kama sio ushamba??uza icho ki-toy uende ukalime uko Tunduma
Hii tunaita umilisi mkuu kila mtu ana Aina yake ya kuongea na kuandika ko ujumbe ukifika tu inatosha.... usiwe na mitazamo hasi kwa kila kitu maan utabaki nyuma..Tena atakuwa mwanafunzi wa chuo kikuu,
Maana likizo zao zinaanza jumamosi ya wiki hili.
Asantee mkuuPakiza kwenye fuso.usisahau kadi ya pikipiki.
[emoji706] [emoji706] [emoji706] [emoji706]Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?
Samahan kwa anaejua anisaidie.
Kweli we mwanafunzi.
Sawa mkuu ntalifanyia kazi wazo hiliKuna malori ya tunduma yamejaa pale jangwani, kwa 50k inafika fresh
[emoji706] [emoji706]Kwan Dar sio mkoa!