Msaada jinsi ya kusafirisha pikipiki kutoka Dar kwnda mkoani

Luge brown

Member
Joined
Aug 6, 2017
Posts
66
Reaction score
142
Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi..
Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani.
Ombi langu ni ushauri je naweza kusafirisha kwa basi??
Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma?
Samahan kwa anaejua anisaidie.
 
Samahani wanajanvi Mimi ni mjasiriamali pia Mwanafunzi..
Sasa nmejichanga na kununua pikipiki kwa mtu (used) na likizo ndo imefika na nataka kuipeleka mkoani.
Ombi langu ni ushauri je naweza kusafirisha kwa basi??
Au nawezaje kusafirishaje ili ifike Tunduma om?

Kweli we mwanafunzi.
 
Wacha wasiwasi.
Safirisha kwa Basi ndani ya Buti ni rahisi. Toa mafuta yote inaingizwa kwa ubavu na kulalia ngao na kusafirishwa Pasi madhara yoyote. Wasiliana na kondakta wa basi kubwa
 
Sasa elimu inakusaidia nini dogo..huwa hatuwekez kweny vitu vinavyo depreciate.. pikipiki ya kutembelea ww mwanafunz inakisaidia nini kama sio ushamba??uza icho ki-toy uende ukalime uko Tunduma
 
Asante kwa Ushauri mzuri mkuu
 
Sasa elimu inakusaidia nini dogo..huwa hatuwekez kweny vitu vinavyo depreciate.. pikipiki ya kutembelea ww mwanafunz inakisaidia nini kama sio ushamba??uza icho ki-toy uende ukalime uko Tunduma
Najua nachokifanya mkuu sijakurupuka hata
 
Tena atakuwa mwanafunzi wa chuo kikuu,
Maana likizo zao zinaanza jumamosi ya wiki hili.
Hii tunaita umilisi mkuu kila mtu ana Aina yake ya kuongea na kuandika ko ujumbe ukifika tu inatosha.... usiwe na mitazamo hasi kwa kila kitu maan utabaki nyuma..
 
Kuna malori ya tunduma yamejaa pale jangwani, kwa 50k inafika fresh
 
Back
Top Bottom