Hassanmushi1993
Member
- Feb 22, 2015
- 21
- 6
ahsante kwa ushari wako ninaufanyia kazi kakaInategemea unasafirisha wakiwa katika hali gani. Unaweza kukausha au kusafirisha wabichi na pia njia zote zina changamoto zake. Ukikausha lazima ujue walaji au soko lako linahitaji nini, mfano unaweza kausha sana au kwa kiasi kidogo tu, ukikausha sana ni hawatawahi kuoza na unaweza kusafirisha mbali zaidi. Ukisafirisha wabichi utahitaji freezer(Jokofu) na pia unahitaji kuwa na barafu za ziada kwa kulinda ubaridi, unaweza pakia ktk jokofu Mwanza na pia una tafuta mtu akuandalie vibarafu na ukifika labda Singida unaviweka ndani unaboost coldness mpaka A-town. unaweza pia fikiria kwa njia tofauti ila nadhani haya ni yamsingi ni wewe tu kuboresha.
ahsante brooWa jina embu rejea topic ya biology ya natural preservatives kama sijakosea. Kama ni samaki unaweza ukatumia chumvi nyingi halafu ukatafuta matenga ukawapanga vizuri. au pia waweza kuwakausha kule kule mwanza ili kupunguza uwezekano wa kuharibika.
ahsante kwa ushauri nitaufanyia kaziLeseni na vibali kutoka mamulaka zinazohusika ni jambo la lazima
Mkuu hizo leseni sio gharama sana, maana inapofika suala la kukata vibali serikali ta Yanzania hilo suala linakua pasua kichwaLeseni na vibali kutoka mamulaka zinazohusika ni jambo la lazima
kuhusu gharama za leseni sijui wanalipia kiasi gani lakini kibali ambacho unakitumia kusafirisha mzigo husika gharama yake ni ndogo sana,lakini unatakiwa kuwa na leseni ya kufanya biashara husika then ukitaka kusafirishia mzigo unaomba kibali maliasiliMkuu hizo leseni sio gharama sana, maana inapofika suala la kukata vibali serikali ta Yanzania hilo suala linakua pasua kichwa