Emanzi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 261
- 118
Wapendwa naomba mnisaidie;
Nataka kusajili NGO inayohusu kusaidia watu wenye Mental and Physical Disabilities. Zitakuwa kuwa kama Home Care but more kama family, aim is to share life together. Tumeshajenga nyumba tatu zenye vyumba nane kila moja, ila ni shared living room, dining room, bathrooms and kitchen, ila kila mtu atakuwa na chumba chake. Kutakuwa na 24hrs staff wa kuwasaidia/support.
Tutatoa huduma Kama ifuatavyo;
Kuishi pamoja, Kupata matunzo na haki stahili zetu kama binadamu yeyote asiyekuwa na ulemavu zikiwemo Malazi, Afya, Elimu, Kazi, Kujitolea, na kujenga uwezo.
Ninachotaka kujua, ni jinsi gani/wapi naweza pata Licence, na je nini kinahitajika ili nipate hiyo licence?
Samahani kuuliza hivi ni kwa sababu sijui taratibu za nchi yetu hii, na nimekuwa nikiishi nje Kwa miaka 25 sasa.
TIA (Thanks in advance).