Msaada jinsi ya kusajili non-profit organization

Msaada jinsi ya kusajili non-profit organization

Emanzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
261
Reaction score
118
Wapendwa naomba mnisaidie;

Nataka kusajili NGO inayohusu kusaidia watu wenye Mental and Physical Disabilities. Zitakuwa kuwa kama Home Care but more kama family, aim is to share life together. Tumeshajenga nyumba tatu zenye vyumba nane kila moja, ila ni shared living room, dining room, bathrooms and kitchen, ila kila mtu atakuwa na chumba chake. Kutakuwa na 24hrs staff wa kuwasaidia/support.

Tutatoa huduma Kama ifuatavyo;

Kuishi pamoja, Kupata matunzo na haki stahili zetu kama binadamu yeyote asiyekuwa na ulemavu zikiwemo Malazi, Afya, Elimu, Kazi, Kujitolea, na kujenga uwezo.

Ninachotaka kujua, ni jinsi gani/wapi naweza pata Licence, na je nini kinahitajika ili nipate hiyo licence?

Samahani kuuliza hivi ni kwa sababu sijui taratibu za nchi yetu hii, na nimekuwa nikiishi nje Kwa miaka 25 sasa.

TIA (Thanks in advance).
 
Mimi nilishawahi anza process (NGO ya utoaji elimu mazingira na uhifadhi wa viumbepori, kwa kimombo wildlife conservation) Ila wenzangu niliokua nao hawakuwa serious si nikapotezea.

Kama unaweza ukanipa email yako ninaweza kukutumia document za process nzima na gharama zake pamoja na wizara ya kwenda kusajili.
 
Thanks mzalendo nakupm sasa
 
Pmd already buddy mzalendo
 
ummeshapata mtu wa kushare naye ideal hiyo

Nimeamua kusitisha kwanza, now nimegeukia kilimo ingawa nikipata nafasi nitaendelea coz hiyo ndio fani yangu (wildlife conservation pamoja na environmental education). So, I hope in the near future nitaendelea ila kwa sasa nimeamua kugeukia kilimo
 
Thanks mzalendo wa-tz
Yeah nina board tz na watu kadhaa Huku
 
Ladyfurahia nimekupm email yangu lets get in touch
 
Back
Top Bottom