Uwe na katiba, fomu namba 1 fomu na 2. orodha ya viongozi na sifa zao,,,uwe na email ya kikundi, barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa,,muhtasari wa kikao cha kuanzisha kikundi ,,na document zote hizo inabidi ziwe scanned. Baada ya hapo unaenda nazo ofisi ya maendeleo kwenye eneo unaloishi.