Msaada jinsi ya kutengeneza AL-KASUSI kwa ajili ya biashara

Msaada jinsi ya kutengeneza AL-KASUSI kwa ajili ya biashara

Wakuu ,
Nimefungua mgahawa hivi karibuni na miongoni mwa Huduma ninazohitaji kutoa ni pamoja na Al-kasusi.
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe .
1.Weka maziwa jikoni ongezea na maji kwa ratio ya 1:1 pamoja na Alkasus. Alkasus utakadiria tu kwenye lita 1 weka vijiko vitatu hadi vinne

2.Acha mchanganyiko wako uchemke vizur

3.Chuja na weka kwenye chupa

Kila la kheri
 
Alkasus inapatikana wapi?
 
1.Weka maziwa jikoni ongezea na maji kwa ratio ya 1:1 pamoja na Alkasus. Alkasus utakadiria tu kwenye lita 1 weka vijiko vitatu hadi vinne

2.Acha mchanganyiko wako uchemke vizur

3.Chuja na weka kwenye chupa

Kila la kheri
Mleta mada anataka kujua namna ya kutengeneza alkasus..
 
Al ~ Kasusu Mujarabu
Nilikuwa Pale Kariakoo Kituo Cha Zamani Bahkresa
Wanatengeza Hiyo Kitu, Nikapewa Nitabarku
Nikamuuliza Ustadh Ambaye Ndiyo Anauza

Hii Inasaidia Nini, Jibu Lake Inachangamsha Mwili
Nikapiga Cup Siyo Tamu Kama Chai 😏
Mchanganyiko Ndiyo Huo Walioutaja Wadau

Nakushauri Weka Na Urojo, Kama Upo Dar es salaam Tafadhali Fika Hiyo Sehemu Kuna Wajuzi Wa Kutengeneza Al ~ Kasusu Mujarabu
Urojo
 
Mahitaji;
1.
2.
3. Maziwa
4. Tende
5.
6. Viagra (kwa ajili ya kuongeza madini joto)
Hizo zingine nimezisahau
 
Back
Top Bottom