hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Waje wanipe data mkuuWazee wa vijiwe mnaitwa
1.Weka maziwa jikoni ongezea na maji kwa ratio ya 1:1 pamoja na Alkasus. Alkasus utakadiria tu kwenye lita 1 weka vijiko vitatu hadi vinneWakuu ,
Nimefungua mgahawa hivi karibuni na miongoni mwa Huduma ninazohitaji kutoa ni pamoja na Al-kasusi.
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe .
Alkasus inapatikana wapi?1.Weka maziwa jikoni ongezea na maji kwa ratio ya 1:1 pamoja na Alkasus. Alkasus utakadiria tu kwenye lita 1 weka vijiko vitatu hadi vinne
2.Acha mchanganyiko wako uchemke vizur
3.Chuja na weka kwenye chupa
Kila la kheri
Mleta mada anataka kujua namna ya kutengeneza alkasus..1.Weka maziwa jikoni ongezea na maji kwa ratio ya 1:1 pamoja na Alkasus. Alkasus utakadiria tu kwenye lita 1 weka vijiko vitatu hadi vinne
2.Acha mchanganyiko wako uchemke vizur
3.Chuja na weka kwenye chupa
Kila la kheri
Nauza njoo PMAlkasus inapatikana wapi?
Hiyo alkasus inaradha ngumu ila ipo poa mm nataka kujua faida zake.
Alkasusu[emoji116]
Kutengeneza Lita 1 ya alkasusu
- tangawiz kipande
-maziwa nusu Lita
-Maji -nusulita
-Njoi- kidonge kimoja
-pilipili manga- nusu kijiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooh ninazo wala cna hitaji nalo
Ali kasusu mujaarabu.