Msaada jinsi ya kutengeneza Kuku sekela. Ni viungo gani wanatumia?

Msaada jinsi ya kutengeneza Kuku sekela. Ni viungo gani wanatumia?

Hata me napenda sana sekela.
Huwa nawapika nyumbani siku moja moja.
Wa kununua tunapunwa mwenzangu.
Pesa ya kununulia kuku mzima sie tunauziwa nusu kuku. Mie huona uchungu.
Shoga ukipata muda siku moja moja na we jichomee nyumbani. Mbona hana kazi.

Habibty kwa mahesabu weye hatari Kama mie lol
 
Back
Top Bottom