Natamani kulia nilivyorudi kwenye hii thread ya sekela.
Nimewamiss mpaka mate yananitoka.
Kama vya kuandaa home nikitaka nile kwa furaha basi niandaliwe.
Au nikiandaa mimi nisile muda huohuo...
Nina taabu [emoji24][emoji24]
Hata me napenda sana sekela.
Huwa nawapika nyumbani siku moja moja.
Wa kununua tunapunwa mwenzangu.
Pesa ya kununulia kuku mzima sie tunauziwa nusu kuku. Mie huona uchungu.
Shoga ukipata muda siku moja moja na we jichomee nyumbani. Mbona hana kazi.
Umeona eeh?Habibty kwa mahesabu weye hatari Kama mie lol
Msaada kuku sekela yukoje kweli sijuiHabarini wanaJF,
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza kuku sekela. Viungo gani vinatumika?
Wale kuku wekundu wa kuchoma Angalia picha niloambatanisha post namba 9 hapo.Msaada kuku sekela yukoje kweli sijui
Msaada kuku sekela yukoje kweli sijui
Madam BMtoa mada tangu jana niko hapa na kuku wangu kwenye sufuria nakusubiri.
Rudi basi...
Nipo kipenzi.Madam B