BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Waungwana,
Kuna mtu yeyote hapa jamvini ambaye anafahamu kukorofisha scramble eggs? Kama yuko naomba darasa. Kuna umuhimu wa kuwa na forum ya mapishi ili akina Mama, Bi Mkubwa, Bi Ntilie, Naima, WOS, Shishi, Lorain, Kelly01, Kinyau na wengineo wengi na hata njemba zinazojua kukaangiza wakatumwagia utaalamu wao katika idara nyeti ya jikoni. Naona Babu Swahili ananiangalia kwa jicho la hasira kwa kutumia neno 'kukorofisha' badala ya kupika..😉
Natanguliza shukrani

Last edited by a moderator: