Nafaham kuhusu frames.
Tafuta kitambaa cha sanda, then kuna chemicals za kichina..nmesahau jina kidogo..unapaka hiyo dawa kwenye kitambaa..kinabadirika rangi...ila hapo unakuwa umeprint paper ya design yako..graphics kwenye karatasi then unaibandika kwenye hicho kitambaa..after some minutes frame itakuwa tayari.