Msaada jinsi ya kutengeneza screen za kuprintia Tisheti/Batiki

Msaada jinsi ya kutengeneza screen za kuprintia Tisheti/Batiki

washeby

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
32
Reaction score
4
Wakuu, mwenye ujuz jinsi ya kutengeneza local screen za kuchapisha nembo,michoro kwenye nguo kama tshirt/batiki.
 
jamani kwani hili hamfaham njooni tumpe taarifa mwenzetu...Tusibaniane utajiri jamani tujikomboe kwa pamoja kama una ufaham mwaga mambo hapa
 
hii iko vizuri, tusubiri wataalam waje
 
Nafaham kuhusu frames.
Tafuta kitambaa cha sanda, then kuna chemicals za kichina..nmesahau jina kidogo..unapaka hiyo dawa kwenye kitambaa..kinabadirika rangi...ila hapo unakuwa umeprint paper ya design yako..graphics kwenye karatasi then unaibandika kwenye hicho kitambaa..after some minutes frame itakuwa tayari.
 
Wakuu, mwenye ujuz jinsi ya kutengeneza local screen za kuchapisha nembo,michoro kwenye nguo kama tshirt/batiki.

Mimi ni logo designer na ushauri wangu ni huu: Maeneo mengi ktk mitaa ya miji yt utawakuta signwriters wanajishughulisha na screen printing. Kama unaishi Dar kuna ofisi nyingi kariakoo zinajihusisha specifically na kazi hizi. Zipo pia M'nyamala nk. Kazi hii inataka mafunzo Kwa vitendo Kwa sababu inahitaji usafi na umakini Mkubwa sn. Tembelea ofisi Kama hizo (uwe tayari kulipia tuition fee) ili upate kujifunza vizuri.
 
Back
Top Bottom