Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Toa maelekezo my dear Kama una juakwanini usiende kwenye Saloon wanapotoa hizi huduma, yale maumivu utaweza jifanyia mwenyewe?
Toa maelekezo my dear Kama una jua
Toa maelekezo my dear Kama una jua
Ndiyo ntamudukwanini usiende kwenye Saloon wanapotoa hizi huduma, yale maumivu utaweza jifanyia mwenyewe?
Asante dearSukari vijiko 8
Asali vijiko 4
limao vijiko 4
unabandika sukari jikoniunaweka na maji unakoroga mpaka inayeyuka, unaweka asali unakoroga inachemka mpk inakua uji uji unaongeza limao unaiacha ichemke kwa dkk kumi halafu unaipua.
ikipoa kidogo unaanza kuitumia.
nimeandika kwa kifupi ni mvivu kidogo kuandika