Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,311
- 1,297
Hello wapendwa kama kama kichwa kinavojieeleza mara nyingi mekuwa nikijaribu kutengeneza waxing lakin nafeli yan inakuwa ngumu kama gundi,msaada wapendwa napenda fanya hii kitu lakini nafeli!