Habarin wana jamii forum nina pesa zangu zipo huko neteller ni dollar kadhaa na nina shida nazo nataka nizitoe fasta shida ni kwamba kwa tanzania ni only to bank hakuna mobile network.
Na ubaya ni kwamba njia ya benk pesa inachukua mda mrefu kufika na pia makato ni makubwa kulinganisha na simu inakatwa 2% only na ni instant yaan unapokea pesa yako hapo hapo.
Sasa naomben wadau km kuna mtu anafahamu jinsi ya kutoa hzo pesa ata kwa kutumia third party cpmpany anipe maana nataka nizotoe fasta hzo dollar.