pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Unahitaji kuwa na Bulk sms sender kama vile DRPU SMS sender, itafute au tusubiri connection wadau wanaweza kuwa nayo.Kama kichwa cha habari kinavyosomeka
Nataka kutuma sms kwa watu wengi kila mtu na sms yake
Nimeshatengeneza excel file yenye collum
Jina|Phone number|SMS
Ujumbe upo tayari tatizo ni jinsi kutuma kwenye hizo phone number
Jaribu bulk sms app kma hii ipo Playstore.
Link: Bulk sms sender ( Excel, Text, Contact ) - Apps on Google Play
View attachment 1836878
Nimepata DRPU ila inahitaji kuwa na modem au smartphone ya SamsungUnahitaji kuwa na Bulk sms sender kama vile DRPU SMS sender, itafute au tusubiri connection wadau wanaweza kuwa nayo.
Wengine huwa wanaziuza (ukikaa vibaya unapigwa), unaweza tafuta kwenye free sites ama ukanunua mtandaoni.