Msaada jinsi ya kutumia Mtandao wa Twitter

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua inatolewa😅.

Kwenye series ya The Boys kacheza kama Homelander jitu fulani lenye Calmness Exterior na Ruthless Interior. Yaani anajifanya mwema kumbe gaidi balaa so nikwa na-relate jinsi anavyokosea kwenye kushabikia na jinsi asivyopendwa kwenye hiyo series.
bfBymePkl9A.jpg

Cha ajabu nilivyojiunga tu sioni pa kukoment, kusoma komenti wala kuLike.
So naombeni mnijuze jinsi ya kukoment,kuona watu/Accs, kusoma Komenti etc..
Thenkyu
-Criston Cole
 
View attachment 2458973

Wanakuja mkuu
 
Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua inatolewa[emoji28].

Kwenye series ya The Boys kacheza kama Homelander jitu fulani lenye Calmness Exterior na Ruthless Interior. Yaani anajifanya mwema kumbe gaidi balaa so nikwa na-relate jinsi anavyokosea kwenye kushabikia na jinsi asivyopendwa kwenye hiyo series.
View attachment 2458973
Cha ajabu nilivyojiunga tu sioni pa kukoment, kusoma komenti wala kuLike.
So naombeni mnijuze jinsi ya kukoment,kuona watu/Accs, kusoma Komenti etc..
Thenkyu
-Criston Cole
Hata mimi inanikera sana kila mara wanasuspend account yangu, inazngua sana.
 
Back
Top Bottom