Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku mimi Wazo la wewe kuwa Da' vinci lilinijia coz.Kwanini mnapenda kunihusisha na hiyo ID?
It's him,alibadili jinaKuna siku mimi Wazo la wewe kuwa Da' vinci lilinijia coz.
1.Ukiandaa uzi unakuwa na nondoz za kutosha na kila picha ina maelezo mazuri staili kama Da vinci kwenye uzi wako wa Tupac na mwengine like Entertainment.
2.Unamaliza kwa jina lako mwishoni kama Yeye alivyokuwa akifanya na mipaka rangi jina.
3.Kwenye uzi mmoja uliniQuote kuwa mambo ya mabishano ya kidini umeacha humu na kutaka sababu na ukakiri kuwa zamani ulikuwa unapenda sana mambo hayo ,sasa mimi nikicheki hii ID sijawahi kukuta kwenye mijadala ya kidini tukirudi kwa Da'vinci yeye kuna kipindi humu alikuwa mfia dini humkosi kwenye hiyo mijadala hadi dhihaka za kidini alikuwa anafanya kabla ya kuacha jumla kwa jumla mambo hayo .
4.Wote ni wapenzi sana wa movies
Kwa hisani ya To yeye
BienI'm eagerly waiting babe
Napenda nikifanya kitu nikifanye with perfection sipendi niwaache hewani wasomaji wa Article. Does that make me a Da'Vinci?Kuna siku mimi Wazo la wewe kuwa Da' vinci lilinijia coz.
1.Ukiandaa uzi unakuwa na nondoz za kutosha na kila picha ina maelezo mazuri staili kama Da vinci kwenye uzi wako wa Tupac na mwengine like Entertainment.
Daah2.Unamaliza kwa jina lako mwishoni kama Yeye alivyokuwa akifanya na mipaka rangi jina.
Mabishano ya dini is for amateur ambao bado hawajakomaa kiimani. Na nina marafiki wasio dini yangu ambao wamenisaidia kuliko hata wa dini yangu! So hata nawe after sometime utaipotezeaga tu hiyo mijadala. Thanks for your concern though3.Kwenye uzi mmoja uliniQuote kuwa mambo ya mabishano ya kidini umeacha humu na kutaka sababu na ukakiri kuwa zamani ulikuwa unapenda sana mambo hayo ,sasa mimi nikicheki hii ID sijawahi kukuta kwenye mijadala ya kidini tukirudi kwa Da'vinci yeye kuna kipindi humu alikuwa mfia dini humkosi kwenye hiyo mijadala hadi dhihaka za kidini alikuwa anafanya kabla ya kuacha jumla kwa jumla mambo hayo .
4.Wote ni wapenzi sana wa movies
Kwa hisani ya To yeye
¿Cuándo debería empezar a entrenarte?Still empty!
Haya kuja bandeja de entradaHoy mi querido, en caja