Safi mkuu, amini kesi ilishaisha hii, utashinda mapema sana, na kuhusu huyo shaidi, mahakama itatupilia mbali ushaidi wake tu. cha kufanya sasa wewe jiadhari sana na kuwasiliana na uyo mwanamke kwani unaweza jikuta unamtumia jumbe ambazo zinaweza kuja kukucost hapo baadae mkuu.
GoodUuulize je wewe ulikua ni nani yake? Ulivyoingia humo chumbani kwake uliwakuta wanafanyaje? (Ukumbuke kisheria uko mahala pazuri kwa kujitetea coz huyo ni mpenzi wako na vile ulivyowakuta ilikua sawa kabisa we kufanya uliyofanya lakin ktk muda huo huo, hii tunaita 'kupandwa na jazba au hasira za ghafla tokana na tukio hasi dhidi yako'.
Maswali hayo mawili kwa huyo mwanamke wako yatakuweka mahala pazuri sana, japo ndani ya maswali haya unaweza pata vingine vya kujiuliza humo humo akiwa anakujibu.
Waulize hao mashaidi, "Je siku ya tukio walikuwepo eneo la tukio? Je, wanaweza isaidia mahakama namna ulivyokua unaonekana kimavazi, n.k.?
Waulize je huo ushaidi wao waliuona au waliskia?.
Endapo ikitokea mmoja wapo akasema aliona, muulize, je anaweza elezea tukio kwa kifupi? Aliwezaje kukuona wewe wakati mlikua ndani? Kama ulimdhuru huyo mwanamke wako ulimdhuru na kitu gani? Wapi? Kama walikuepo eneo la tukio na waliona je walifanya juhudi gan kuzuia shambulizi? Wana uhusiano gani na huyo mfungua kesi?
Waambie kuwa nyie mmeupika huo ushahidi wenu kwa kuwa mnafahamiana na huyo bwana wa mfungua kesi.
Kumbuka usiwe muoga, jiamini, hauwezi kufungwa, na ukiweza unawezaandika haya na yakakuongoza mahakamani vizuri tu kwani inaruhusiwa kuingia na vikaratasi mahakamani vyenye maswali ambayo wewe mwenyewe uliyaandika....
Usiogope.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha sanaKaka mbona hatupati mrejesho...au upo segerea sasa...?
..Uuulize je wewe ulikua ni nani yake? Ulivyoingia humo chumbani kwake uliwakuta wanafanyaje? (Ukumbuke kisheria uko mahala pazuri kwa kujitetea coz huyo ni mpenzi wako na vile ulivyowakuta ilikua sawa kabisa we kufanya uliyofanya lakin ktk muda huo huo, hii tunaita 'kupandwa na jazba au hasira za ghafla tokana na tukio hasi dhidi yako'.
Maswali hayo mawili kwa huyo mwanamke wako yatakuweka mahala pazuri sana, japo ndani ya maswali haya unaweza pata vingine vya kujiuliza humo humo akiwa anakujibu.
Waulize hao mashaidi, "Je siku ya tukio walikuwepo eneo la tukio? Je, wanaweza isaidia mahakama namna ulivyokua unaonekana kimavazi, n.k.?
Waulize je huo ushaidi wao waliuona au waliskia?.
Endapo ikitokea mmoja wapo akasema aliona, muulize, je anaweza elezea tukio kwa kifupi? Aliwezaje kukuona wewe wakati mlikua ndani? Kama ulimdhuru huyo mwanamke wako ulimdhuru na kitu gani? Wapi? Kama walikuepo eneo la tukio na waliona je walifanya juhudi gan kuzuia shambulizi? Wana uhusiano gani na huyo mfungua kesi?
Waambie kuwa nyie mmeupika huo ushahidi wenu kwa kuwa mnafahamiana na huyo bwana wa mfungua kesi.
Kumbuka usiwe muoga, jiamini, hauwezi kufungwa, na ukiweza unawezaandika haya na yakakuongoza mahakamani vizuri tu kwani inaruhusiwa kuingia na vikaratasi mahakamani vyenye maswali ambayo wewe mwenyewe uliyaandika....
Usiogope.
Watu wanachangiaga kwenye upumbavu zaidimada nzuri ila haina wachangiaji
Kaka mbona hatupati mrejesho...au upo segerea sasa...?
Nakuona mwanasheria Kanjanja unazidi kulaghai majuha wa mitandaoni.Uuulize je wewe ulikua ni nani yake? Ulivyoingia humo chumbani kwake uliwakuta wanafanyaje? (Ukumbuke kisheria uko mahala pazuri kwa kujitetea coz huyo ni mpenzi wako na vile ulivyowakuta ilikua sawa kabisa we kufanya uliyofanya lakin ktk muda huo huo, hii tunaita 'kupandwa na jazba au hasira za ghafla tokana na tukio hasi dhidi yako'.
Maswali hayo mawili kwa huyo mwanamke wako yatakuweka mahala pazuri sana, japo ndani ya maswali haya unaweza pata vingine vya kujiuliza humo humo akiwa anakujibu.
Waulize hao mashaidi, "Je siku ya tukio walikuwepo eneo la tukio? Je, wanaweza isaidia mahakama namna ulivyokua unaonekana kimavazi, n.k.?
Waulize je huo ushaidi wao waliuona au waliskia?.
Endapo ikitokea mmoja wapo akasema aliona, muulize, je anaweza elezea tukio kwa kifupi? Aliwezaje kukuona wewe wakati mlikua ndani? Kama ulimdhuru huyo mwanamke wako ulimdhuru na kitu gani? Wapi? Kama walikuepo eneo la tukio na waliona je walifanya juhudi gan kuzuia shambulizi? Wana uhusiano gani na huyo mfungua kesi?
Waambie kuwa nyie mmeupika huo ushahidi wenu kwa kuwa mnafahamiana na huyo bwana wa mfungua kesi.
Kumbuka usiwe muoga, jiamini, hauwezi kufungwa, na ukiweza unawezaandika haya na yakakuongoza mahakamani vizuri tu kwani inaruhusiwa kuingia na vikaratasi mahakamani vyenye maswali ambayo wewe mwenyewe uliyaandika....
Usiogope.
Hebu weka nondo zako hapa tuyaone hayo maujuzi yakoNakuona mwanasheria Kanjanja unazidi kulaghai majuha wa mitandaoni.
Cross examining is a skill, sio ujinga huu umeandika hapa!
This is not a cross, it is rubbish!
Wakili yoyote hawezi kuuliza huu ujinga atajiharibia kesi yake.