Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa Tanesco kwa kunijibu kabla sijaweka namba yaombi.namba ya malipo control namba ambayo nilituma kufanya malipo naomba kuuliza kihalali mteja anatakiwa kungojea siku Ngapi kupata huduma ya umeme toka alipofanya malipo. Nikipata jibu Hilo nitakuwa na uwezo Wa kujua kama ni mechelewa au Mimi Nina haraka. Nikisha pata jibu nitaweka vielelezo vyote na tanguliza shukrani