Msaada: Jinsi ya kuunganishiwa umeme

Msaada: Jinsi ya kuunganishiwa umeme

Ndugu Mteja

Tafadhali onesha namba ya ombi au namba ya simu uliyofanyia maombi ya kuunganishiwa umeme kwa hatua zaidi
Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa Tanesco kwa kunijibu kabla sijaweka namba yaombi.namba ya malipo control namba ambayo nilituma kufanya malipo naomba kuuliza kihalali mteja anatakiwa kungojea siku Ngapi kupata huduma ya umeme toka alipofanya malipo. Nikipata jibu Hilo nitakuwa na uwezo Wa kujua kama ni mechelewa au Mimi Nina haraka. Nikisha pata jibu nitaweka vielelezo vyote na tanguliza shukrani
 
Mpendwa mteja , ni wiki mbili toka mteja anapofanya malipo , kama hakutakua na uchelewaji itategemea na changamoto ya ofisi husika kama mteja yupo kwenye mradi au kuna mgogoro wa maeneo.
 
Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa Tanesco kwa kunijibu kabla sijaweka namba yaombi.namba ya malipo control namba ambayo nilituma kufanya malipo naomba kuuliza kihalali mteja anatakiwa kungojea siku Ngapi kupata huduma ya umeme toka alipofanya malipo. Nikipata jibu Hilo nitakuwa na uwezo Wa kujua kama ni mechelewa au Mimi Nina haraka. Nikisha pata jibu nitaweka vielelezo vyote na tanguliza shukrani
Habari, Tunapenda kukujulisha kuwa muda wa kufungiwa umeme inategemeana na umbali kati ya nyumba yako na miundombinu ya umeme
 
Back
Top Bottom