Msaada jinsi ya kuvalidate tangazo ili liwe seen publicly katika website ya kupatana

Msaada jinsi ya kuvalidate tangazo ili liwe seen publicly katika website ya kupatana

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,761
Habari zenu wakuu,

Leo kwa mara ya kwanza niliamua kutumia hii huduma ya Premium katika kupost tangazo langu. huwa napost vitu vingi na kuviuza kupatana but huwa natumia ile ya kawaida. sasa baada ya leo kupost kwa kutumia hiyo premium, ilikubali na kwenye profile yangu nikiangalia vitu nilivyovipost inaonekana but imeandika kwamba ''This listing hasn't been validated.

Please validate it in order to make it public". na ukweli ukiangalia tangu nimepost masaa 6 yamekatika but hakuna viewer hata mmoja aliyepita kwa maana bado halijawa posted publicly. naombeni msaada kama kuna mtu anatambua namna ambayo naweza kusolve ishu kama hiyo. Asanteni.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom