Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

Nenda sehemu ya kutype, click zile dot 3 za mwanzo yaani baasa ya B I , then click hicho kidude kimekaa kama mwezi kilichopo baada ya hizo double . Halafu chagua rangi utakayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…