Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

Msaada jinsi ya kuweka rangi kwenye post

Nenda sehemu ya kutype, click zile dot 3 za mwanzo yaani baasa ya B I , then click hicho kidude kimekaa kama mwezi kilichopo baada ya hizo double . Halafu chagua rangi utakayo.
 
(color=green)wachanione kama inakubali
Waka [ ] sio hizo mabano za muundo wa curve na usiache nafasi.

Chukua huo mfano hapo chini nilivyoandika

Screenshot_20230416-144416.jpg
 
Back
Top Bottom