Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechemka,duh sijui na uwezo wa Simu unachangia[emoji23]Nimechemka,duuh sijui na uwezo wa simu[unachangia]
Sidhani[ color = red] neno unalotaka likolee rangi nyekundu
usiache nafas yoyote coz mi nakuelekeza
Mkuu hii featut haipo applicable kwenye what's up?[ color = red] neno unalotaka likolee rangi nyekundu
usiache nafas yoyote coz mi nakuelekeza
@Johnny Impact hivi hii feature ya rangi haipo applicable kwa what's up?Ni hiv mr
[ color=red ] futa hizi space kweny mabano halafu mbele ya mabano usiache nafasi yaan neno lako lianzie hapo.
Strongmind mfano huu hapa
NiKitaka kuandika wote karibuni, nafuta space zilizokwenye mabano na kisha mbele ya mabano siachi nafasi yaan naanza kuandika neno au maneno yangu. Ukitaka kumtag mtu anza na @ usiache nafasi jina la mtu.Mfano.
Wote mnakaribishwa.
Kwahiyo ukishafuta space na mbele ya mabano bila kuacha nafasi. Hizi [ color=red ] zitatoweka na hapo kweny red unaweza kuandika neno la rangi yyte utakayo.
kumbe rahisi tuNimechemka,duh sijui na uwezo wa Simu unachangia[emoji23]
What's up napo unafanyaje ukitaka mambo yawe hivi?kumbe rahisi tu
Ni hivifuta hizi spaceNi hiv mr